Batoo entertainment presents Bampa 2 Bampa Party jumapili tarehe 19/4/2015 kuanzia saa nane mchana mpaka saa mbili usiku kwa kiingilio cha 3000/= show itafanyika MILESTONE CLUB SAKINA huku Wanene Cloth Line (ARUSHA BOY) na (ARUSHA GIRL) watazindua Logo ingine ya Arusha boy na Arusha girl burudani huo ni utamaduni wetu Dj p na Dj Noel watafanya Yao Pale...
Powered By VMG AFRICA ,NOIZ MEKAH ,BATOO ENTERTAINMENT ,BATOOENTERTAINMENT.BLOGSPOT.COM .TRUST ANTHONY TRAVEL.
No comments:
Post a Comment